Amosi 6:8 BHN

8 Bwana Mwenyezi-Mungu ameapa kwa nafsi yake;Mwenyezi-Mungu, Mungu wa majeshi asema:“Nachukizwa mno na kiburi cha wazawa wa Yakobo;tena nayachukia majumba yao ya fahari.Mji wao na vyote vilivyomo nitawapa adui zao.”

Kusoma sura kamili Amosi 6

Mtazamo Amosi 6:8 katika mazingira