Amosi 8:1 BHN

1 Bwana Mwenyezi-Mungu alinijalia maono mengine: Niliona kikapu kilichojaa matunda ya kiangazi.

Kusoma sura kamili Amosi 8

Mtazamo Amosi 8:1 katika mazingira