Amosi 8:12 BHN

12 Watu watatangatanga kutoka bahari hata bahari,kutoka upande wa kaskazini mpaka mashariki.Watakimbia huko na huko wakitafuta neno la Mwenyezi-Mungu,lakini hawatalipata.

Kusoma sura kamili Amosi 8

Mtazamo Amosi 8:12 katika mazingira