Methali 14:35 BHN

35 Mfalme humfadhili mtumishi atendaye kwa hekima,lakini hasira yake huwakumba watendao yasiyofaa.

Kusoma sura kamili Methali 14

Mtazamo Methali 14:35 katika mazingira