Methali 20:22 BHN

22 Usiseme, “Nitalipiza ubaya niliotendewa.”Mtegemee Mwenyezi-Mungu naye atakusaidia.

Kusoma sura kamili Methali 20

Mtazamo Methali 20:22 katika mazingira