28 Shahidi mwongo ataangamia,lakini msikivu hawezi kunyamazishwa.
29 Mtu mwovu hujionesha kuwa jasiri,lakini mwadilifu huhakikisha ametenda sawa.
30 Hakuna hekima, maarifa, wala mawaidha yoyote ya mtu,yawezayo kumshinda Mwenyezi-Mungu.
31 Farasi hutayarishwa kwa vita,lakini ushindi wamtegemea Mwenyezi-Mungu.