Methali 22:3 BHN

3 Mtu mwangalifu huona hatari akajificha,lakini wajinga hujitokeza mbele wakaumia.

Kusoma sura kamili Methali 22

Mtazamo Methali 22:3 katika mazingira