1 Ukiketi kula pamoja na mtawala,usisahau hata kidogo uko pamoja na nani.
2 Zuia sana hamu yako,ikiwa wewe wapenda sana kula.
3 Usitamani vyakula vyake vizuri,maana vyaweza kukudanganya.
4 Ikiwa unayo hekima ya kutosha,usijitaabishe kutafuta utajiri.