18 Mtu atoaye ushahidi wa uongo dhidi ya mwenziwe,ni hatari kama rungu, upanga au mshale mkali.
Kusoma sura kamili Methali 25
Mtazamo Methali 25:18 katika mazingira