10 Usisahau rafiki zako wala wa baba yako.Ukipatwa na janga usikimbilie kwa nduguyo;afadhali jirani aliye karibu kuliko ndugu aliye mbali.
Kusoma sura kamili Methali 27
Mtazamo Methali 27:10 katika mazingira