25 Mchoyo huchochea ugomvi,lakini anayemtegemea Mwenyezi-Mungu atafanikiwa.
Kusoma sura kamili Methali 28
Mtazamo Methali 28:25 katika mazingira