Methali 30:15 BHN

15 Mruba anao binti wawili wasemao, “Nipe, nipe!”Kuna vitu vitatu ambavyo kamwe havishibi,naam, vitu vinne visivyosema, “Imetosha!”

Kusoma sura kamili Methali 30

Mtazamo Methali 30:15 katika mazingira