19 Njia ya tai angani,njia ya nyoka mwambani,njia ya meli baharini,na kinachomvuta mwanamume kwa mwanamke.
Kusoma sura kamili Methali 30
Mtazamo Methali 30:19 katika mazingira