33 Maana ukisukasuka maziwa utapata siagi,ukimpiga mtu pua atatoka damu;kadhalika kuchochea hasira huleta ugomvi.
Kusoma sura kamili Methali 30
Mtazamo Methali 30:33 katika mazingira