Methali 30:4 BHN

4 Ni nani aliyepanda juu mbinguni akashuka chini?Ni nani aliyekamata upepo mkononi?Ni nani aliyefunga maji katika kitambaa?Ni nani aliyeiweka mipaka yote ya dunia?Jina lake ni nani? Na ni nani jina la mwanawe?Niambie kama wajua!

Kusoma sura kamili Methali 30

Mtazamo Methali 30:4 katika mazingira