9 nisije nikashiba nikakukana;nikasema, “Mwenyezi-Mungu ni nani?”Au nisije nikawa maskini nikaiba,na kulikufuru jina lako ee Mungu wangu.
Kusoma sura kamili Methali 30
Mtazamo Methali 30:9 katika mazingira