Waamuzi 7:12 BHN

12 Wamidiani, Waamaleki na watu wote wa Mashariki walilala bondeni, wengi kama nzige, na ngamia wao wasiohesabika, wengi kama mchanga wa pwani.

Kusoma sura kamili Waamuzi 7

Mtazamo Waamuzi 7:12 katika mazingira