Walawi 1:2 BHN

2 “Waambie Waisraeli kwamba kama mtu anapenda kumtolea Mwenyezi-Mungu sadaka ya mnyama, mnyama huyo atamchagua kutoka kundi lake la ng'ombe, kondoo au mbuzi.

Kusoma sura kamili Walawi 1

Mtazamo Walawi 1:2 katika mazingira