Walawi 10:1 BHN

1 Nao Nadabu na Abihu, wanawe Aroni, walichukua kila mmoja chetezo chake, wakaweka moto na ubani, wakamtolea Mwenyezi-Mungu moto najisi, ambao haukulingana na agizo lake Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Walawi 10

Mtazamo Walawi 10:1 katika mazingira