Walawi 9:24 BHN

24 Mwenyezi-Mungu akawasha moto ukaiteketeza sadaka ya kuteketezwa na mafuta yaliyokuwa juu ya madhabahu. Watu wote walipouona huo moto walipaza sauti na kusujudu.

Kusoma sura kamili Walawi 9

Mtazamo Walawi 9:24 katika mazingira