23 Ndipo Mose na Aroni wakaingia ndani ya hema la mkutano; walipotoka waliwabariki watu, nao utukufu wa Mwenyezi-Mungu ukaonekana kwa watu wote.
Kusoma sura kamili Walawi 9
Mtazamo Walawi 9:23 katika mazingira