Walawi 9:22 BHN

22 Aroni alipomaliza kutolea sadaka zote: Sadaka za kuondoa dhambi, sadaka za kuteketezwa na sadaka za amani, aliwainulia watu mikono, akawabariki, kisha akashuka chini.

Kusoma sura kamili Walawi 9

Mtazamo Walawi 9:22 katika mazingira