Walawi 9:21 BHN

21 Lakini vile vidari na ule mguu wa nyuma wa kulia, Aroni alifanya navyo ishara ya kumtolea Mwenyezi-Mungu, kama Mose alivyoamuru.

Kusoma sura kamili Walawi 9

Mtazamo Walawi 9:21 katika mazingira