Walawi 11:21 BHN

21 Lakini, baadhi ya wadudu wenye mabawa na wanakwenda kwa miguu minne ya kurukia ardhini mnaweza kula.

Kusoma sura kamili Walawi 11

Mtazamo Walawi 11:21 katika mazingira