Walawi 11:3 BHN

3 Kati ya wanyama wote duniani, mmeruhusiwa kula mnyama yeyote mwenye kwato zilizogawanyika sehemu mbili na ambaye hucheua.

Kusoma sura kamili Walawi 11

Mtazamo Walawi 11:3 katika mazingira