Walawi 11:4 BHN

4 Lakini msile mnyama yeyote ambaye hucheua lakini kwato zake hazikugawanyika sehemu mbili, au ambaye kwato zake zimegawanyika lakini hacheui. Msile ngamia, kwani hucheua lakini kwato zake hazikugawanyika sehemu mbili. Kwenu huyo ni najisi.

Kusoma sura kamili Walawi 11

Mtazamo Walawi 11:4 katika mazingira