Walawi 13:27 BHN

27 Siku ya saba kuhani atamwangalia. Kama umeenea kwenye ngozi, basi, kuhani atamtangaza mtu huyo kuwa najisi; kwani anao ugonjwa wa ukoma.

Kusoma sura kamili Walawi 13

Mtazamo Walawi 13:27 katika mazingira