Walawi 13:28 BHN

28 Lakini, kama ile alama haijaenea, ila imefifia, huo ni uvimbe uliotokana na kuungua; basi, kuhani atamtangaza mtu huyo kuwa safi; kwani hilo ni kovu la kuungua.

Kusoma sura kamili Walawi 13

Mtazamo Walawi 13:28 katika mazingira