11 Kuhani atakayemtakasa mtu huyo atamleta mbele ya Mwenyezi-Mungu karibu na mlango wa hema la mkutano pamoja na vitu alivyoleta.
Kusoma sura kamili Walawi 14
Mtazamo Walawi 14:11 katika mazingira