Walawi 14:15 BHN

15 Kisha, kuhani atachukua kiasi cha ile theluthi moja ya mafuta na kuyatia katika kiganja cha mkono wake wa kushoto.

Kusoma sura kamili Walawi 14

Mtazamo Walawi 14:15 katika mazingira