Walawi 14:16 BHN

16 Atachovya kidole cha mkono wake wa kulia katika mafuta hayo na kumnyunyizia huyo mtu anayetakaswa mara saba mbele ya Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Walawi 14

Mtazamo Walawi 14:16 katika mazingira