Walawi 14:17 BHN

17 Kiasi cha mafuta yanayobaki katika kiganja chake atampaka huyo mtu anayetakaswa katika ncha ya sikio lake la kulia na kidole gumba cha mkono wake wa kulia na kidole gumba cha mguu wake wa kulia, mahali palepale alipompaka damu ya sadaka ya kuondoa hatia.

Kusoma sura kamili Walawi 14

Mtazamo Walawi 14:17 katika mazingira