Walawi 14:7 BHN

7 Kisha, atamnyunyizia huyo mwenye kutakaswa ile damu mara saba, halafu atamtangaza mtu huyo kuwa safi. Yule ndege hai atamwacha aende zake mashambani nje ya mji.

Kusoma sura kamili Walawi 14

Mtazamo Walawi 14:7 katika mazingira