Walawi 15:12 BHN

12 Chombo chochote cha udongo kilichoguswa na mtu anayetokwa na usaha ni lazima kivunjwe. Lakini chombo chochote cha mbao ni lazima kisafishwe kwa maji.

Kusoma sura kamili Walawi 15

Mtazamo Walawi 15:12 katika mazingira