Walawi 15:13 BHN

13 “Mwanamume yeyote anayetokwa na usaha akiponywa ugonjwa wake, ni lazima huyo mtu angoje siku saba kabla ya kuondolewa unajisi wake. Atayafua mavazi yake na kuoga kwa maji ya mtoni; naye atakuwa safi.

Kusoma sura kamili Walawi 15

Mtazamo Walawi 15:13 katika mazingira