Walawi 15:24 BHN

24 Kama mwanamume akilala na mwanamke huyo na damu ya huyo mwanamke ikamdondokea huyo mwanamume, basi, mwanamume huyo atakuwa najisi kwa muda wa siku saba. Kitanda chochote atakacholalia huyo mwanamume kitakuwa najisi.

Kusoma sura kamili Walawi 15

Mtazamo Walawi 15:24 katika mazingira