Walawi 15:25 BHN

25 “Kama mwanamke anatokwa na damu kwa muda wa siku nyingi kuliko ilivyo kawaida au anatokwa damu wakati usio wa majira yake ya kutokwa damu, basi, ataendelea kuwa najisi muda wote damu inapomtoka.

Kusoma sura kamili Walawi 15

Mtazamo Walawi 15:25 katika mazingira