Walawi 15:26 BHN

26 Kitanda chochote anacholalia wakati huo au kiti chochote anachokalia, kitakuwa najisi sawa kama wakati wa unajisi wake wa kutokwa damu.

Kusoma sura kamili Walawi 15

Mtazamo Walawi 15:26 katika mazingira