6 Mtu yeyote atakayekalia kitu chochote alichokalia huyo mtu mwenye kutokwa na usaha, ni lazima ayafue mavazi na kuoga; na atakuwa najisi hadi jioni.
Kusoma sura kamili Walawi 15
Mtazamo Walawi 15:6 katika mazingira