Walawi 15:7 BHN

7 Mtu yeyote atakayemgusa mtu atokwaye na usaha, lazima afue mavazi yake na kuoga; naye atakuwa najisi mpaka jioni.

Kusoma sura kamili Walawi 15

Mtazamo Walawi 15:7 katika mazingira