Walawi 15:8 BHN

8 Mtu yeyote akitemewa mate na mtu anayetokwa usaha ni lazima mtu huyo aliyetemewa mate ayafue mavazi yake, na kuoga; naye atakuwa najisi mpaka jioni.

Kusoma sura kamili Walawi 15

Mtazamo Walawi 15:8 katika mazingira