Walawi 19:22 BHN

22 Kuhani atamfanyia ibada ya upatanisho kwa kutumia kondoo huyo mbele ya Mwenyezi-Mungu kwa ajili ya dhambi aliyotenda; naye atasamehewa dhambi hiyo aliyotenda.

Kusoma sura kamili Walawi 19

Mtazamo Walawi 19:22 katika mazingira