Walawi 19:23 BHN

23 “Mtakapofika katika nchi ya Kanaani na kupanda aina zote za miti ya matunda, matunda hayo hamtayala; hamtaruhusiwa kuyala kwa muda wa miaka mitatu.

Kusoma sura kamili Walawi 19

Mtazamo Walawi 19:23 katika mazingira