26 Kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu ni mtakatifu, nami nimewatenga nyinyi na mataifa mengine ili muwe mali yangu, mtakuwa watakatifu.
Kusoma sura kamili Walawi 20
Mtazamo Walawi 20:26 katika mazingira