Walawi 20:27 BHN

27 “Mwanamume au mwanamke yeyote aliye mlozi au mchawi, ni lazima auawe kwa kupigwa mawe. Wote watawajibika kwa umwagaji wa damu yao wenyewe.”

Kusoma sura kamili Walawi 20

Mtazamo Walawi 20:27 katika mazingira