12 Siku hiyo mnapofanya ishara ya kutoa huo mganda mbele yangu mtanitolea mimi Mwenyezi-Mungu sadaka ya kuteketezwa ya mwanakondoo dume wa mwaka mmoja asiye na dosari.
Kusoma sura kamili Walawi 23
Mtazamo Walawi 23:12 katika mazingira