Walawi 23:15 BHN

15 “Mtahesabu majuma saba kamili tangu siku ile inayofuata Sabato ile ambapo mtaleta mganda wa sadaka ya kunitolea kwa ishara mimi Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Walawi 23

Mtazamo Walawi 23:15 katika mazingira