Walawi 23:16 BHN

16 Mnamo siku ya hamsini, siku ya pili ya Sabato ya saba, mtanitolea mimi Mwenyezi-Mungu sadaka ya nafaka mpya.

Kusoma sura kamili Walawi 23

Mtazamo Walawi 23:16 katika mazingira