Walawi 23:21 BHN

21 Siku hiyohiyo mtatoa ilani ya mkutano mtakatifu; msifanye kazi. Hili ni sharti la kufuata milele katika vizazi vyenu vyote, katika makazi yenu.

Kusoma sura kamili Walawi 23

Mtazamo Walawi 23:21 katika mazingira