Walawi 23:22 BHN

22 “Unapovuna mavuno yako shambani, kamwe usivune kabisa hadi mpakani mwa shamba lako wala usirudi nyuma kukusanya masalio. Utawaachia hayo maskini na wageni. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.”

Kusoma sura kamili Walawi 23

Mtazamo Walawi 23:22 katika mazingira